ACACIA Wapotezea Ripoti ya Dkt. Mruma, wasema 'yaliyomo hayamo kwenye Uhalisia..'
Matukio blog imenasa barua hii kutoka Uongozi wa ACACIA Minning 'KUKANUSHA YALIYOMO' ndani ya Ripoti iliyowasilishwa jana na Kamati Maalum ya Mhe, Rais kuchunguza Makontena ya Mchanga wa Madini yaliyozuiliwa katika Bandari ya Dar es Salaam kwa takriban miezi miwili sasa.
Tuitafakari, Tuijadili tukiweka 'Utaifa Mbele' tukifahamu wazi Impact ya kinachosemwa katika Uhalisia na Mustakabali wa Uchumi wa Nchi yetu..
Hebu chukulie iwe ni only a fraction (1/4) ya Ripoti na yaliyomo kwenye Ripoti yawe ni ya kweli.. tuanzie hapo,.. That means a fraction of economical loss has been negatively realized in our basket over 17years.
Turudi kwenye Uchumi wa namba Total Economical Activities in the Country (GDP), Tupime impact ya GDP and its Direct Impact kwenye Economical Activities - Ajira, Poverty Rate, Inflation, Currency Deterioration, etc multiply by 17 years of fraction of positive extract ya ripoti ya jana ya akina Prof. Mruma na Kamati yake ya Mchanga wa Madini.
Let's go discuss.. pale chini kuna comment box and share button.. share as many times as possible wengine wasome pia..
Aksante Clouds Media kwa copy hii ya barua kutoka ACACIA.
No comments:
Post a Comment