BAD NEWS! TANZIA..
Zimetufikia Habari za Kifo cha Mbunifu wa Nembo ya Taifa Mzee Kanyasu au Mzee Ngosha kama alivyofahamika zaidi, kilichotokea hivi punde, tumekuwekea Taarifa rasmi ya msiba huu mkubwa kama tulivyoipokea kutoka Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alikokuwa akipatiwa matibabu hadi kufikwa na umauti wake..! #SHARE
Tumepoteza mtu muhimu sana katika Historia ya Tanzania, Matukio blog inaungana na Watanzania na Taifa katika wakati huu mgumu wa Maombolezi.
No comments:
Post a Comment