BREAKING NEWS!! Kamanda Sirro ndie IGP wetu Mpya!!
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Leo tarehe 28/05/2017 amemteua Bw. Simon Sirro, Kuwa Mkuu Mpya wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP)
Kamanda Sirro ambae hapo awali alikuwa Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, amechukua nafasi ya Bw. Ernest Mangu ambae atapangiwa kazi nyengine.
Matukio Blog. inamtakia heri na ufanisi IGP Sirro katika kutekeleza majukumu yake mapya.

No comments:
Post a Comment