BREAKING NEWS!!! Kutoka Ikulu Jijini Dar es Salaam Zimetufikia Taarifa za Rais Kutembelea Hospital ya Muhimbili..
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewatembelea Wagonjwa waliolazwa Muhimbili akiwemo mchoraji wa nembo ya Taifa pamoja na Mtoto Shukuru Kisonga aliekuwa na Tatizo la kushindia Sukari na Mafuta ya Kula' kama sehemu ya Mlo wake Mkuu.
Itakumbukwa Mzee Ngosha awali alikuwa amelazwa Hospitali ya Amana na kuhamishiwa Hospilini hapo baada ya hali yake kuanza kuzorota.
Matukio blog inaungana na Rais katika kuwatakia wagonjwa wote faraja na uponyaji wa haraka!

No comments:
Post a Comment