Breaking News ! Trump afanya Uteuzi wa Nafasi 'Nyeti'
Rais Donald Trump wa Marekani amemteua Sheriff David Clarke, kuwa Afisa Mkuu wa Idara ya Ushirikiano katika Wizara ya Usalama wa Ndani ya Marekani.
Kabla ya uteuzi wake, Bwana Clarke ambae ametangaza kuupokea uteuzi wa Trump katika kipindi maalum cha Televiesheni leo mchana, amelazimika kujiuzulu rasmi nafasi yake ya Utumishi kama mkuu wa Utawala wa Jimbo la Milwaukee nafasi aliyoitumikia kwa miaka 16.
Bwana Clarke pia amewahi kuhudumu nafasi mbalimbali za kiutawala katika serikali zilizopita.
Gavana wa Jimbo la Milwaukee ameupokea uamuzi wa Bw. David, ingawa amebainisha pengo lake halitazibika .
endelea kubonyeza; www.tanzaniampyamatukio.blogspot.com
Ciaoo..
No comments:
Post a Comment