Leonel Messi aanika wachezaji nyota aliowahi kubadilishana nao jezi (swap) uwanjani; yupo Henry na Raul Gonzalez!
Katika hali isiyotegemewa nguli wa soka anaetamba na record zake Leonel Messi ameanika 'lundo' la jezi za wachezaji wenzake aliowahi kufanya nao 'swap' uwanjani. Miongoni mwa jezi maarufu alizowahi kuvaa (swap) akiwa uwanjani ni ya Thiery Henry, Raul, Iker Casillas, Francesco Totti, Pavel Nedved, Philpp Lahm, Sergio Aguero na yaya Toure...
Katika hatua nyengin gazeti la the mail online limeweka hadharani record za mafanikio ya mchezaji huyo kisoka kwa miaka 13 aliyodumu Uwanjani.
No comments:
Post a Comment