FIFA 'imenawa mikono' Rufani ya Simba kwa Kagera Sukari... yasimama na TFF
Tumepokea nakala ya Barua ya FIFA ikipigilia msumari na kuzika kabisa matumaini ya Rufani ya Simba kuinyang'anya ubingwa Dar Yanga African watoto wa Jangwani.
Katika barua hiyo FIFA imetamka kinagaubaga haina uwezo wa kimaadili wa kutengua maamuzi ya Kamati ya Rufani ya TFF kwani yamezingatia haki na kanuni za Mpira wa Miguu na sheria mama inayoiongoza TFF ambayo FIFA imetia baraka zake.
Nakala nimekuwekea hapa chini..

No comments:
Post a Comment