Maajabu ya #DON IVAN aliezikwa na mihela yake!! #SHARE halafu chungulia hapa...

Kifo cha aliyekuwa mume na mzazi mwenzie na Zari 'The Boss Lady', Ivan Semwanga’s au Ivan Ze Don, kimeandika historia ya mazishi ya binadamu wa kawaida Nchini Uganda. Ivani aliefariki Nchini Afika ya Kusini kwa shambulizi la Moyo, amezikwa kijijni kwa wazazi wake jana jioni huku maelfu na mamia waliohudhuria wakibaki midomo wazi..

Kilichotokea cha kustaajabisha ni kitendo cha baadhi ya matajiri wa kundi lake la 'Rich Gang' kushindana kumwaga 'mihela mingi sana' ndani kaburi lake ambazo cha kusha ngaza zaidi alizikwa nazo...

Hebu angalia hawa 'wekundu wa msimbazi' hapa chini halafu vuta picha ya yule 'Don wa Nollywood ambaye alizikwa na 'Range Rover' lake New Model !! 
#comment halafu #SHARE 






About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search