Matukio Pichani: Yaliyojiri Bungeni katika kikao 16 Mkutano wa 7 cha Bunge la 11 Leo tarehe 03/05/2017


 Mwenyekiti  wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Andrew Chenge akiongoza kikao cha kumi na sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 3, 2017.
PIX 2-Mhe.Kairuki akitolea ufafanuzi vyeti feki
 Waziri  wa Nchi Ofisi ya Rais Mhe.Angelina Kairuki akijibu maswali mbalimbali ya wabunge kikao cha kumi na sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 3, 2017.
PIX 3-Mhe.Kimwele akiongea
 Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe.Isack Kamwelwe  akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika  kikao cha kumi na sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 3, 2017.
PIX 4-Dk Kugwangala akiongea
Naibu Waziri wa Afya ,Maendeleo ya Jamii ,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Khamis Kigwangalla akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika  kikao cha kumi na sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 3, 2017.
PIX 5-Waziri wa afya akiongea
Waziri wa Afya ,Maendeleo ya Jamii ,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Ummy Mwalimu  akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika  kikao cha kumi na sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 3, 2017.
PIX 7-Mhe.Bashungwa
Mbunge wa Karagwe (CCM) Mhe.Innocent Bashungwa akiuliza swali  kikao cha kumi na sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 3, 2017.
OL
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mhe.Oliver Semuguruka  akiuliza swali  kikao cha kumi na sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 3, 2017.
HD
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Ajira na Watu wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama,Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe.Hussein Mwinyi na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana na Ajira  wakifurahia jambo katika  kikao cha kumi na sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 3, 2017.
PIX 13-Mhe Kawambwa akichangia
Mbunge wa Bagamoyo(CCM)  Mhe.Shukuru Kawambwa akiuliza swali  kikao cha kumi na sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 3, 2017.
PIX 14-Wabunge wakiteta jambo
Wabunge wa Chama cha Demokarasia na Maendeleo(CHADEMA) Wakijadili jambo wakati wa kikao cha kumi na sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 3, 2017.
Picha Zote na Daudi Manongi- Dodoma MAELEZO,DODOMA

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search