Mhe Spika nae aja juu 'haiwezekani unakalia kunitukana tuu'
Mhe. Bonna nae akayasema haya:
‘Hakuna mtu ambaye anakataa maendeleo lakini wanakataa utaratibu mliotumia, mlisema mmetoa miezi mitatu watu waondoke lakini hata kabla muda uliopangwa haujafika tayari mmeenda kuwabomolea’ –Bonnah Kaluwa
VIDEO: ‘Haiwezekani nikulipe alafu unakaa kunitukana’ –Spika Ndugai



No comments:
Post a Comment