New! Agenda 4 Kuu atakazo 'amsha' nazo Askofu Mkuu Gwaajima J'pili 28/May

Kuna waraka wa kinachosemekana kuwa ni Ratiba Rasmi  ya Mkutano wa Kiroho wa Askofu Mkuu Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima kwa siku ya J'pili tarehe 28/05/2017 katika Katika Kanisa lake Kuu la Jijini Dar es Salaam.

Ratiba hii iliyopewa jina la 'Kuamsha Dude' imekuwa kivutio kikubwa kutoka na Mikutano yake kurushwa 'mubashara' kupitia mitandao ya kijamii na kufuatiliwa na watu wengi ndani na nje ya Nchi ikiwemo wafuasi wa dini mbalimbali.

Matukio Blog imekuletea ratiba hii uweze kujua yatakayojiri...



About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search