Picha 27: Ona "Legends" walivyoshuhudia Safari ya Ubingwa Chealsea..
Mbali na kuhudhuriwa na wachezaji nyota
wa zamani wa Chelsea, mechi ya jana dhidi ya Middlesbrough ilimalizika kwa
shabiki mmoja nguli wa klabu hiyo ya Stanford bridge kukamilisha ndoto yake kwa
furaha baada ya kutembea miles 1500 kumuona John Terry kabla kuondoka klabuni
hapo.
Miongoni wa superstars wa zamani wa klabu
hiyo kongwe nchini Uingereza walikuwepo wachezaji Jimmy Floyd Hasslbank na
Andrily Shevchenko pamoja na kocha mstaafu alieipaisha Chelsea kwa mafanikio Carlo
Ancelotti.
Fuatana name ujionee picha zote 27 za
matukio ya jana wakati Chelsea ikiipa kisago Middlesbrough kwa goli 3 – 0.
Jimmy Floyd Hasselbank |
Carlo Ancelotti
|
Andrily Shevchenko
|
Kocha wa Chelsea Antonio Conte |
No comments:
Post a Comment