Big news: Wahalifu 4 Wameuawa Kibiti.. Kuna Mkoa Mpya wa Kipolisi Umeanzishwa Rufiji.. Ujerumani 'warasimisha' ndoa za jinsia moja.. #share.. Malinzi Atoa 'tano' Uchaguzi TFF..

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro ametangaza kuanzishwa kwa Kanda Mpya ya Kipolisi Rufiji na Onesmo Lyanga ameteuliwa kuiongoza. 

Awali, Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Eng. Hamad Masauni akiongea kwenye kikao na Waandishi wa Habari mchana huu, amesema hatua hiyo ina lengo kuongeza nguvu ya kudhibiti kasi ya mauaji ya Askari na raia wasiokuwa na hatia katika maeneo ya Kibiti, Rufiji na Mkuranga.


















About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search