MAGAZETINI Leo 14/06/2017: Soma kuu zifuatazo: Ripoti ya Makinikia No. 2, Lowasa ampa '5' Magufuli.. Yaanza kuwafichua 'waliotajwa'.. Karamagi ashangaa,.. aja na 'swali zito' auliza nisaidie nini??
Halima Mdee, Bulaya 'kuongezewa kifungo', Mchanga wa Makinikia 'watikisa' Utawala wa Mkapa, Kikwete..Ripoti ya Prof. Osoro yazua mazito Bungeni,.. yaamsha mjadala mkali.. Wakuu wa Mikoa watakiwa kutaifisha ardhi isiyoendelezwa.. D9 Club sasa 'utata'mtupu.. na katika Michezo.. BMT yapiga "STOP' Uchaguzi TFF..
No comments:
Post a Comment