Magazetini Leo 27/06/2017: Baada ya Makinikia; Kafulila ahoji orodha ya waliochota Mabilioni ya Escrow Benki ya Stanbinc,.. #share.. Ugaidi wa Kibiti waitikisa Sikukuu ya Eid..

Lowasa kutinga Polisi Leo, atakiwa kwa mahojiano na DCI.. Mchujo mkali waendelea mauaji ya Kibiti.. Rais msaafu mwinyi afunguka mazito Swala ya Eid 'Ningetamani JPM awe Rais wa kudumu.. Masikini Manji; Kufuli la Magufuli lamweka pabaya..














About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search