MAGAZETINI Leo 3/06/2017: Bungeni kwatibuka.. Maskini Mnyikaa..' asombwa na Mchanga wa Dhahabu Bungeni.. ' na Spots Viwanjani: Juve na Real Madrid 'majibu yote yatapatikana'

ACACIA 'yakazia' hasara ya 2.2 billion kwa siku 'Boss wao Mkuu' atua Nchini kupima 'hali ya hewa'.. 'Mambo yashakuwa mambo', Waziri Mwigulu.. 'kikazi zaidi' awataka Chenge na Werema kuanika 'maslahi' yao Makampuni ya Madini..: na 'Kauli ya Mwisho' ya Legend Ndesamburo.. simulizi ya Meya inatishaa!!




About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search