MAGAZETINI Leo tarehe 7/06/2017: Soma Kuu zifuatazo : Mauaji Mapya Kibiti yamnyanyua IGP Sirro; 'achimba mkwala mzito...' mwengine akiuawa kikatili Usiku wa kuamkia Jana..

Safari ya Mwisho ya Mzee Ndesamburo.. Maelfu wamiminika kumsindikiza,..  Lukuvi ang'ara msibani.. Upinzani 'moto' Bungeni 'kifungo cha Halima Mdee', Anna Mghwira aapishwa u-RC Kili,.. Mwenyewe asema 'habanduki ACT; atavaa kofia mbili'.. Na katika michezo,.. 'Okwi ni Simba'
































About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search