MASIKINI ALLY YANGA..! JPM amuenzi asema alikuwa hodari kwa Timu yake Yanga na Chama Cha Mapinduzi.. #share
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, amepeleka salaam za rambirambi kwa familia, ndugu, jamaa na wapenzi na mashabiki wa timu ya Yanga kwa kuondokewa na muhamasishaji mkubwa wa klabu na Mwananchama mtiifu wa chama cha Mapinduzi Bwana Ali Mohamed au Ali Yanga..
Katika Salamu zake, Mhe. Rais amesema alikuwa na Bw. Ali Yanga kipindi cha kampeni za Urais za mwaka 2015 na ameguswa sana..
Matukio tumekusogezea press maalum kutoka Ikulu Jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment