Picha 6: China yaadhimisha Tamasha la Kula Nyama ya 'umbwa'.. #share maelfu ya waokolewa !

Tamasha la kula nyama ya mbwa lililopewa jina 'Yulin Dog Meat Festival' limeingia mchanga baada ya wanaharakati Nchini China kuvamia Lori na kunusuru zaidi ya mbwa na paka 1,000 waliokuwa wakipelekwa machinjioni.


Bi'dada akihesabu faida baada ya mambo ya mauzo kuchangamka katika siku ya kwanza ya Tamasha la 'dog festival'

Mmoja wa wanaharakati hao amelielezea tamasha hilo kuwa ni udhalilishaji na maumivu makubwa kwa wanyama wasio na hatia na kuitaka Serikali kuingilia kati.

Amesema kila mwaka dunia hufumbia macho maelfu ya wanyama hao wakibebanishwa kwenye vichumba vidogo vidogo bila kujali hali zao.. kwa kisingizio 'kuadhimisha' kinachofanywa na watu wasio na huruma.. 'ni wakati sasa tuseme basi' alimalizia mwanaharakati huyo na mpenzi wa wanyama aliejitambulisha kwa jina la YUYU.. 

Matukio blog tumekukusanyia picha nane za matukio ya wanatamasha wakifurahia msosi huo maalum..










About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search