Usipitwe na headlines muhimu kwenye uchambuzi asubuhi ikiwemo.. #Share
- Halima Mdee nae 'ajitosa kuinanga' budget ya Serikali ya 31.7Trillion, aichambua Bajeti kinzani akiwa kifungoni asema ni Tshs. 29.9trilion #Share.. lakini iliyojaa vyanzo na mikakati..
- Arobaini ya Ripoti ya pili mchanga wa Dhahabu yatimia..
- Waziri Mkuu wa Zamani wa Mauritania aipa somo Zanzibar
- GorMahia yalamba kitita na kombe 'Mashemeji Cup'
- Mnyororo njia rahisi na salama kuepuka,meno mchongoko' kinywani mwako...
No comments:
Post a Comment