TANZIA: MBUNGE VITI MAALUM AFARIKI DUNIA !

Taarifa iliyotolewa leo March 31 2017 na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai imeeleza kuwa Mbunge wa viti maalum CHADEMA, Dkt. Elly Marko Macha amefariki dunia leo katika hospitali ya New Cross, Walverhamton nchini Uingereza alikokuwa anapatiwa matibabu
Mbunge wa Viti Maalum 'CHADEMA', Dk Elly Macha amefariki dunia leo ktk hospitali ya New Cross Uingereza alikokuwa akipatiwa matibabu.

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search