Video Maarifa: No Human Intervention !!: Hebu tuongeze maarifa kwa Video hii fupi ya Ufugaji wa kisasa wa kuku.. #share

Ndugu msomaji wa Matukio, hivi umewahi kuwaza kujihusisha na mradi wa ufugaji wa kuku.. ? hebu ungana nami kwenye hii video fupi tujifunze pamoja mbinu pengine nyepesi zaidi ingawa gharama..

Think about it.. hivi tukiwa kwenye makundi ya watu mia mia ya ujasiriamali.. Can we afford it..? au ndio tutaambiwa umeme mdogo.. au hatuna smelter !!

Nimeipenda sana hii technolojia.. maana kuku anachinjwa katika hatua ya mwisho kabisaa.. 'No Human Intervention Kabisaa!!

 

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search