MORNING TALK: Rais JPM yuko ziarani Chato, fuatilia live yanayojiri.. Majaliwa akaribisha wawekezaji.. Rais Kenyatta aivimbia Mahakama.. #share.. TRA wafunguka kuhusu ukaguzi wa Risiti..
Fuatilia live ziara ya Mhe. rais Mjini Chato.
========= == ===== ===== =====
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewahakikishia uwekezaji wenye tija wawekezaji watakaokuja nchini kwa kuwa Tanzania ni nchi yenye amani, utulivu wa kisiasa na uchumi wenye kukua kwa kasi.
Ameyasema hayo jana (Jumapili, Julai 09, 2017) alipomuwakilisha Rais Dkt. John Magufuli katika maadhimisho ya miaka 60 tangu Mtukufu Aga Khan alipochaguliwa kuwa Imamu Mkuu wa madhehebu ya Shia Ismailia duniani.
Waziri Mkuu amesema Serikali inatambua na kuthamini shughuli mbalimbali zinazofanywa na mtandao wa taasisi za Aga Khan zilizopo hapa nchini, hivyo Serikali itaendelea kushirikiana nao.
Ameupongeza mtandao wa taasisi za Aga Khan kwa kumuunga mkono Rais Dkt. Magufuli katika kutoa kipaumbele cha kuwapa fursa watu wenye kipato cha chini kushiriki katika uzalishaji ili waweze kujikwamua kiuchumi.
"Nawahakikishia kwamba uwekezaji wenu hapa nchini utakuwa na baraka kwa sababu nchi imetulia kisiasa na uchumi wake unakua kwa kasi. Nawaomba muendelee kuwaalika wanajumuia wa madhehebu ya Shia Ismailia popote walipo duniani waje kuwekeza nchini fursa bado zipo."
Kwa upande wake Rais wa Jumuiya ya Madhehebu ya Shia Ismailia Tanzania, Bw. Amin Lakhani ameishukuru Serikali kwa ushirikiano inaowapa na kwamba ameahidi kuendelea kushirikiana nayo katika kuboresha sekta mbalimbali nchini.
Amesema mtandao wa maendeleo wa Aga Khan unatoa huduma mbalimbali zikiwemo za afya, elimu, kilimo na kunaendesha miradi katika mabara ya Afrika na Asia kwa kuwapa fursa watu wenye kipato cha chini kushiriki katika uzalishaji ili kujikwamua kiuchumi.
Awali, Mkuu wa wilaya ya Ilala, Bi. Sophia Mjema aliipongeza taasisi hiyo kwa mpango wake wa upanuzi wa hospitali na kuongeza vituo 35 vya afya kutoka 15 walivyonavyo - EATV
================ ==== ================
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ameonya mahakama nchini humo akiitaka kutousaidia upinzani na kuhujumu uchaguzi unaokuja.
Uchaguzi wa urais utafanyika mwezi ujao ambapo uhuru Kenyatta anataka kuchaguliwa tena.
Siku ya Ijumaa, kufuatia kesi iliyowasilishwa mahakamani na upinzani, mahakama kuu iliamrisha tume ya uchaguzi isichapishe makaratasi ya kupigia kura.
Bwana Kenyatta alisisitiza kuwa uchaguzi huo utafanyika jinsi ulivyopangwa.
Amesema kuwa mahakama hauwezi kudai kuwa huru na kutumia uhuru huo kuingilia idara zingine za serikali.
Muungano wa upinzani wa Nasa ulidai kuwa rais alikuwa na uhusiano na kampuni ya Dubai la Al Ghurair ambayo ilishinda zabuni ya dola milioni 24 kuchapisha makatasi hayo.
Hata hivyo Jaji mkuu wa Kenya David Maraga, ametoa onyo kwa Rais Uhuru Kenyatta kutohujumu imani ya umma juu ya mfumo wa kisheria.
Nayo tume ya Uchaguzi nchini Kenya IEBC leo inatarajiwa kukutana na wagombea wote wanane wa kiti cha uraisi akiwemo Rais Uhuru Kenyata.
Mawakili wa Tume hiyo pia watafika mbele ya mahakama ya rufaa kupata ufafanuzi zaidi juu ya uamuzi huo - Bongo5
========== ============ =======
Raila Odinga's address to the media after being discharged https://t.co/u9r0cvAT68— NTV Kenya (@ntvkenya) July 10, 2017
Nkaissery cared for needy, loved his beer - Daily Nation https://t.co/WLo5LjiGzb #RIPNkaisery pic.twitter.com/3IH3W30nAW— DailyNation Politics (@Nation_Politics) July 10, 2017
Mosul yakombolewa kutoka kwa wapiganani wa IS https://t.co/086WTQXGTf— bbcswahili (@bbcswahili) July 10, 2017
Mosul yakombolewa kutoka kwa wapiganani wa IS https://t.co/086WTQXGTf— bbcswahili (@bbcswahili) July 10, 2017
OPINION: Mike Sonko is no match for Miguna Migunahttps://t.co/kOb6kxOyXv via @UreportKe pic.twitter.com/s9dj2p9rp5— The Standard Digital (@StandardKenya) July 10, 2017
Akothee gives revelers glimpse of her makeup free face at the 25th birthday party of her manager (Photos)https://t.co/GqzYQlRGal pic.twitter.com/vM6GQnokNC— Ghafla Tanzania (@GhaflaTanzania) July 10, 2017
Tanzania rapper cum politician @ProfessorJayTz finally weds the love of his lifehttps://t.co/xad6KIbAtI pic.twitter.com/8FGJMwlR6c— Ghafla Tanzania (@GhaflaTanzania) July 10, 2017
DONE DEAL: Chelsea FC wamekamilisha usajili wa mlinzi wa Ujerumani - https://t.co/9CmfBTLg3P pic.twitter.com/MPzLLsMzmN— millard ayo (@millardayo) July 10, 2017
Varsities with acting bosses face crisis - Daily Nation https://t.co/nwvjyVmQFD— Daily Nation (@dailynation) July 10, 2017
Before you quit the impossible, watch the greatest chase scene of all time pic.twitter.com/wlzBcvWS7N— Vala Afshar (@ValaAfshar) July 9, 2017
Lowassa, Diamond, Jide walivyoipamba harusi ya Profesa Jay jijini Dar https://t.co/zcRLO0B33y via @MwananchiNews #MwananchiLeo— Mwananchi Newspapers (@MwananchiNews) July 10, 2017
Ismaili community marks leader’s special anniversary https://t.co/REZjuSK2K5 via @TheCitizenTZ— The Citizen Tanzania (@TheCitizenTZ) July 10, 2017
Mama wa watoto wawili Darasani: https://t.co/fe2RUv6NnS via @YouTube— Salma Said (@ZanzibariYetu) July 10, 2017
Waziri Mkuu atoa uhakika kwa wawekezajihttps://t.co/QUyrpCtEq8 pic.twitter.com/02je2Qtgw6— East Africa TV (@eastafricatv) July 10, 2017
Waziri Dkt Harrison Mwakembe atazungumza na vyombo vya habari leo saa 4 asubuhi ukumbi wa MAELEZO.Tutawaletea dondoo punde.— Msemaji wa Serikali (@TZ_MsemajiMkuu) July 10, 2017
Dkt. H. Abbasi
KWA MANUFAA YAKO BINAFSI. pic.twitter.com/PmHMHrNFP7— Sheikh A.K (@AbbyKirahi) July 10, 2017
70 firefighters have been tackling a huge blaze at the popular tourist attraction Camden Lock Market in north London https://t.co/Sg7F7cYpPm pic.twitter.com/BLg6JN9e42— BBC News (UK) (@BBCNews) July 10, 2017
Harusi ya Mhe @ProfessorJayTz ilituunganisha Viongozi mbalimbali hapa nikiwa na baadhi tu ya Viongozi waliohudhuria https://t.co/PSWzTvHmbn pic.twitter.com/sXgxMCABDs
— Freeman Mbowe (@freemanmbowetz) July 10, 2017





No comments:
Post a Comment