nEWS: Sakata la Waandishi wa TBC 'kutimuliwa Chadema' lachukua sura mpya; TEF ikishuka na na Waraka mzito.. #share

Jukwaa la Wahariri Tanzania(TEF) limekikemea Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa kuwafukuza Waandishi wa Shirika la Utangazaji la Taifa la TBC katika  Mkutano wa Tundu Lissu na Wanahabari uliofanyika juzi.


TEF imesema hilo ni doa kubwa kwa Chadema, taasisi inayojinasibu na kujipambanua kuwa mstari wa mbele katika kutetea demokrasia Nchini mwetu.

TEF imemalizia kwa kutoa onyo kali kwa taasisi, vikundi, au watu binafsi watakaoendeleza vitendo vya kuwabughudhi waandishi wakati wakitekeleza wajibu wao..



About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

3 comments

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search