News!! TEF yainyooshea kidole Channel 10.. ni kuhusu kurushwa hewani kwa Taarifa za RC Paul Makonda.. .. share
Jukwaa la Wahariri Tanzania TEF limeendelea kuweka angalizo kwamba maamuzi yaliyofikiwa kuhusu kutorusha hewani Taarifa kuhusu RC Paul Makonda Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam ni endelevu mpaka itakapoamuliwa vyenginevyo..
Taarifa ya TEF imekuja kufuatia mwenendo wa hivi Karibuni wa Channel Ten na EFM kumpa coverage Mhe. Makonda jambo ambalo limekiuka Collective Solidarity..
Matukio tumenasa waraka mrefu kutoka TEF ili uendelee kuhabarika zaidi..
No comments:
Post a Comment