Uteuzi: TRA Yapata Bossi Mpya.. Ni Msomi Maarufu Profesa Florens Luoga.. #share
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, leo tarehe 11/07/2017 amemteua Prof. Florens D.A.M Luoga kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kushika nafasi ya Bw. Mchomvu.
Prof. Luoga ni Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
#Matukio360 tumekusogezea waraka kutoka Ikulu, Jijini Dar es Salaam kama tulivyoupokea..
Tunamtakia Pro. Luoga ufanisi katika nyongeza hii ya majukumu.

No comments:
Post a Comment