GUMZO: JPM amtaka Waziri Mwijage kuchukua hatua kwa walioshindwa kuviendeleza viwanda walivyouziwa.. #share
Rais wa Jamhuri ya Muungano amemtaka Waziri amemtaka Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Charles Mwijage kuchukua hatua kwa walioshindwa kuviendeleza viwanda walivyouziwa.
Mhe. Rais ametoa agizo hilo muda mfupi kabla ya kufungua kiwanda cha kuzalisha Saruji cha Kilimanjaro alipokuwa akiendeleza ziara yake Mkoani Tanga juzi..
Mhe. Rais ametoa agizo hilo muda mfupi kabla ya kufungua kiwanda cha kuzalisha Saruji cha Kilimanjaro alipokuwa akiendeleza ziara yake Mkoani Tanga juzi..
No comments:
Post a Comment