Kama Ulipitwa na hii Good News:: Watu wa TECNO wametuletea SPARK TOUR inayoendelea 'kubamba' ndani ya Jiji.. #share
TECNO Mobile, kampuni inayoongoza kwa simu bora
nchiniTanzania imetambulisha mfumo mpya wa burudani namatangazo nchini
ukiambatana na simu mpya katika mpangaliowa matokeo mapya ya SPARK. Tecno
Mobile imeanzishamtindo mpya wa kuwafwata wateja wake mitaani na kuwapaburudani
kupitia wanamuziki mbalimbali. Mtindo huo maarufukama SPARK TOUR umekua maarufu
katka kona za mitaa zaJiji la Dar es Salaam.
Tecno Spark ambayo simu tambulishwa, ni simu ambayoimekua
gumzo kwa kuwapa wateja wengi wa kampuni hiyofuraha kwani bei inayouzwa
linganisa na ubora wa simu hiyo nifaida kubwa kwa wateja wa Tecno Spark.
Kupitia simu hii yaSPARK vijana wa kitanzania wameshawishika kuwasha checheza
vipaji vyao na kuzionesha kupitia jukwaa la Tecno SPARK udhamini wa karibu wa
Tecno Mobile.
Ofisa Mahusiano wa Tecno mobile Bwana. Eric Mkomoye amesema
kua nia na madhmuni ya Tecno ni Kuendeleakuwaltea watanzania simu bora zenye
uwezo mzur ila kwa bei wanazoziweza kutokna na vipaji vyao. Aliongeza kua SPARK
TOUR itawafikisha watanznia wote nyanda za ziwa, kaskazini na hata mikoa ya
katikati hivyo zawadi za aina mbalimbaliikiwemo Tecno spark yenyewe
zitatolewa. (Mitaa ya jiji la Dar es salaam ikiwashiwa cheche za burudani
na SPARK TOUR)
Kama isemavyo kua kipaji chako ndio ufunguo wako ,
ndioinavyokua kwa vijana na watu wanonesha vipaji kupitia simu hiimtaa kwa mtaa
jijini Dar es salaam, uvumizi wa kiburudaniunafwanywa na kamouni Tecno Huku
lengo likiwa pia kutoanafasi kwa viijana wa kitanzania kuonesha uwezo wao
iliwaweze kusaidiwa.
Tecno SPARK imekuja ikiwa na utofauti mkubwa huu ikiigemea
katika upande wa kiburudanizaidi .Simu inahamasisha vijana kua na mitindo
inatambulishwa ikiwa na kamera nzuri yenyepicha ang’avu kwa 13MP, Teknolojia ya
mix flash, usalama wa kibabe wa kutumia alama zavidole , kioo chake ni kina
ukubwa wa inchi 5.5 , 16gb za kuweka vitu ndani wakati inasukumadata kwa 2gb
ram.
Tecno Spark inakuja ikiwa na rangi mbalimbali rangi
nyeusi,(phatom black), rangi ya dhahabu (champagne gold) na rangi ya blue
(coral blue).
(mitaa ya jiji la Dar es salaam ikiwashiwa cheche za burudani
na SPARK TOUR)
No comments:
Post a Comment