UTEUZI: JPM 'ampa kitengo' Professor Mruma.. ni yule Mtaalamu wa Jiolojia na Makanikia One!! #share
Rais wa Jamhuri ya Muungno wa Tanzania Dkt. John Joseph Pombe Magufuli, Leo Ijumaa ya Tarehe 18/08/2017, amemteua Professor Abdulkarim Mruma kuwa Mwenyekiti wa Kampuni ya Kuhifadhi Mafuta (TIPER).
Kwa Mujibu wa Taarifa iliyopatikana mchana huu kutoka Ikulu Jijini Dar es Salaam, Rais pia amewateua Maprofesa wengine wawili kwenye nafasi nyengine tofauti tofauti.
No comments:
Post a Comment