Breaking: Mbunge wa Geita Vijini Joseph Msukuma anashikiliwa na Jeshi la Polisi.. sare.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Geita, Joseph Msukuma ambaye pia ni Mbunge wa Geita Vijijini anashikiliwa na Jeshi la Polisi.
Taarifa za awali zinaeleza kuwa Mbunge huyo anashikiliwa kwa kosa la kuongoza wananchi hivi karibuni kuvamia Mgodi wa Dhahabu wa Geita.
Endelea kufuatilia Matukio360 itakijuza undani wa taarifa hii kadri taarifa zitakavyopatikana

No comments:
Post a Comment