CCM Yazidi Kumtibulia Zitto Kabwe...Habari Kamili Matukio360 Imekusogezea Hapa...#share
WANACHAMA watatu wa Chama cha ACT
-Wazalendo akiwemo aliyekuwa mgombea ubunge wa jimbo la Morogoro kusini
Mashariki mwaka 2015 na Mwenyekiti wa jimbo la Morogoro Kusini Mashariki
wamehamia Chama Cha Mapinduzi (CCM), anaandika Christina Haule.
Wanachama hao yumo aliyekuwa mgombea
nafasi ya ubunge katika uchaguzi mkuu uliopita Dk. Daud Mollel, Mwenyekiti wa
chama hicho Dk. Hamimu Hongo na Yahya Nasoro mwanachama wa kawaida ambao
wameamua kujiunga na CCM.
Wanachama hao wamesema kwa sasa hawana sababu
ya kuendelea kubaki upinzani kutokana na utendaji wa serikali ya awamu ya
tano chini ya Rais Magufuli.
Chama hicho ambacho kimepata pigo
kinaoongozwa na Mwenyekiti wake, Zitto Kabwe ambaye pia ni mbunge wa
Kigoma mjini.
Makada hao wapya wa CCM
walijitokeza katika kikao cha Halmashauri Kuu ya mkoani morogoro na
kuweka bayana dhamira yao ya kuhamia CCM na namna walivyoguswa na
utendaji wa serikali ya awamu ya tano.
Katibu
wa CCM mkoa wa Morogor
No comments:
Post a Comment