Magazeti ya Sports & Hardnews Leo 13/09/2017: Shambulio la Lissu lageuka chambo kwa Zitto Kabwe na Kubenea.. Daktari wake Nairobi aibua mazito,.. Meja Jenerali naye apigwa risasi 5 akitokea benki,.. Mkude arudishwa 1st Simba,.. Yanga yamuonya Tshishimbi,.. Ofisi ya Mawakili wa Yusuf Manji yavamiwa Dar,.. Na kutoka udaku: Staa Wolper alipiwa mahari,.. #share





























About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search