UPDATES: Watanzania Watakiwa Kupuuza Taarifa za Hali ya Tundu Lissu Mitandaoni...Habari Kamili Hii Hapa na Matukio360..#share
TAARIFA FUPI TOKA NAIROBI.
Mh Lissu anaendelea na Matibabu hapa Nairobi, hali yake ni
"critical but stable " kumekuwa na taarifa mbali mbali zitolewazo
katika mitandao ya kijamii naomba tuzipuuze.
Kuhusu hali yake au hatua na taratibu zozote zile Mwenyekiti
Mh. Freeman Mbowe ata uarifu umma kadiri itakavyofaa.
Kwa sasa tuwaombe watanzania wote tuendelee kumuombea na
kuhimizana kuendelea kuchangia matibabu yake.
Hemed Ali
Mkuu wa idara ya Uenezi- CHADEMA.
Nairobi Hospital.
No comments:
Post a Comment