Rais Magufuli kuwatunuku vyeti waliofanya uchunguzi madini...soma habari kamili na Matukio360...#share
Na mwandishi wetu
RAIS wa Tanzania Dk John Magufulu leo atawatunukuu
vyeti wajumbe wa kamati zilizofanya uchunguzi kiwango aina na thamani ya madini
katika makinikia na baadaye kufanya mazungumzo na kampuni ya Barrick.
Rais Dk Magufuli akikabidhiwa mwenge wa uhuru hivi karibuni visiwani Zanzibar
Oktoba 19, Tanzania na Barrick Gold Cooperation
zilifia makubaliano na kutialiana saini mkataba wa kutekeleza mwelekeo mpya wa
namna kampuni hiyo itakavyoendesha biashara ya madini ya dhahabu yaliyochimbwa
katika migodi yake nchini pamoja na kulipia takribani Dola za kimarekani
bilioni 700 za kuonesha nia njema ya kufidia madai ya upotevu wa mapato
yaliyotokana na biashara hiyo.
Taarifa hiyo imetolewa leo jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi
wa Mawasiliano ya Rais, IKULU Gerson Msingwa
No comments:
Post a Comment