TAARIFA MAALUM: KUUWAWA KWA JAMBAZI MMOJA NA KUPATIKANA KWA BASTOLA AINA YA GLOCK 17... na matukio360
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dsm mnamo tarehe 21/10/2017 majira ya
0600hrs huko maeneo ya Mivumoni madale Kawe, askari wakiwa doria
walipokea taarifa toka kwenye kituo cha waendesha pikipiki, kuwa kuna
watuhumiwa wa ujambazi watatu wanafyatua risasi, baada ya askari kupata taarifa hizo waliwahi eneo la tukio....
No comments:
Post a Comment