Magazeti ya Leo 10/12/2017...soma uchambuzi wa magazeti na matukio360...#share

NI HISTORIA:  "Babu Seya", "Papii Kocha" wako mtaani leo, Magufuli asamehe 61 waliokuwa wakisubiri vitanzi magerezani...Sherehe za uhuru zaahirisha mkutano wa Chadema Dar...Watanzania waomboleza vifo vya askari 14...Kili ya aaga chalenji, Z,bar safi...Yanga yamnasa mbaya wa Stars...Straika TP-Mazembe 100T% Simba...






























About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search