Magufuli kuzindua 'passport' ya kisasa ya kielektroniki....soma habari kamili na matukio360....#share

Na mwandishi wetu, Dar es salaam

RAIS John Magufuli  mapema hii leo anatarajia kuzindua mfumo wa uhamiaji mtandao na hati ya kusafiria 'passport' ya Tanzania ya kielektroniki.

Hati hiyo ya kusafiria ni ya kisasa yenye alama madhubuti za ulinzi

Rais John Magufuli

Uzinduzi huo utafanyika kurasini wilayani Temeke jijini Dar es salaam makao makuu idara ya uhamiaji  kuanzia majira ya saa tatu asubuhi.

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search