Mkuu idara mipango miji Ilala apoteza fahamu baada kutumbuliwa...soma habari kamili na matukio360....#share
Na mwandishi wetu, Dar es salaam
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda leo amemwagiza mkurugenzi mkoani humo kuwapangia kazi nyingine wakuu wa Idara ya mipango miji manispaa ya Ilala, Paul Mbembela na wa Ubungo, Hamis Songwe.
Pia Kaimu Mkuu idara ya maendeleo na ustawi wa jamii Ilala, Sapensia Masawe atapangiwa kazi nyingine kwa kushindwa kutekeleza majuku yake
Kufuatia agizo hilo, Paul Mbembela alianguka na kukimbizwa hospitali kwa matibabu. Mkutano huo ulenga kurejesha majibu kwa wakazi wa Dar es salaam waliodhulumiwa mali zao tofauti.
Paul Mbembela aliyevaa shati nyekundu akiwa amesimamishwa leo katika mkutano wa Makonda na wakazi wa Dar es salaam ukumbi wa Diamond Jubilee.
Akipewa huduma ya kwanza
Baadhi ya wakazi wa Dar es salaam waliohudhuria mkutano wa Paul Makonda
Wanasheria waliohudhuria mkutano wa Makonda na wakazi wa Dar es salaam leo

No comments:
Post a Comment