Dk Slaa aapishwa kuwa balozi Sweden....soma habari kamili na matukio360...#share

Na mwandishi wetu,Dar es salaam

RAIS John Magufuli leo amewaapisha mabalozi wawili aliowateuwa hivi karibuni.


Mabalozi hao ni Dk Willbrod Slaa ambaye anakuwa balozi nchini Sweden na Muhidin Mboweto anakuwa balozi nchini Nigeria. Hafla hiyo imefanyika Ikulu jijini Dar es salaam

RAIS John Magufuli akiwa na Dk Willbrod Slaa hivi karibuni Ikulu  jijini Dar es salaam

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search