Mbowe, wenzake wapo polisi kuhojiwa.... soma habari kamili na matukio360...#share
Na Abraham Ntambara, Dar es salaam
VIONGOZI wakuu sita wa Chadema akiwamo Freeman Mbowe wamefika kituo cha polisi kati jijini Dar es salaam kuitikia wito wa kamanda jeshi la polisi Dar es salaam, Lazaro Mambosasa.
Viongozi wakuu was Chadema wakiinga kituo cha kati cha polisi jijini Dar es salaam
Wengine ni John Mnyika, Halima Mdee, John Mrema, Salum Mwalimu, Ester Matiko, na John Heche.
Hatua hiyo inafuatia wiki iliyopita baadhi ya viongozi hao kufika kituoani hapo na kutakiwa kurejea leo majira ya saa nne asubuhi.
Mkurugenzi wa mawasiliano wa Mambo ya nje, John Mrema amesema kuchelewa kwao, polisi walitaka kwenda kuwakamata.
"Ni mambo ya ajabu polisi walitaka kuja kutukamata kwa sisi kuchelewa tu. Lakini tunakwenda wenye," amesema Mrema
Picha mbalimbali kabla ya viongozi wa Chadema kuingia kituoani kuhojiwa

No comments:
Post a Comment