NCHI ya China imeridhia kutoa msaada wa sh bilioni 138.3 kwa ajili ya ujenzi wa chuo kikuu cha usafirishaji nchini.
Pia rais John Magufuli amemteua Dk Omari Nundu kuendelea kuwa mwenyekiti wa bodi ya TTCL Corp.
About Author Matukio360
Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.
No comments:
Post a Comment