Na mwandishi wetu, Dar es salaam
IDARA ya Uhamiaji imekanusha taarifa kwamba watanzania waliopata pasipoti zao Tanzania bara wanazuiliwa kusafiri kwenda nje ya nchi kupitia Zanzibar.
Imesema inafanyia uchunguzi taarifa hizo zilizosambazwa na itawachukulia hatua ya kisheria wote waliohusika
No comments:
Post a Comment