Mkurugenzi manispaa ya Kongwa afariki kwa ajali...soma habari kamili na matukio360...#share
MKURUGENZI wa Manispaa ya Kongwa, Izengo Ngusa, amefariki asubuhi ya leo Aprili 15 kwenye ajali ya gari,
Taarifa zinasema gari dogo alilopanda Mkurugenzi huyo, lenye namba za usajili T619 DMA aina ya Toyota Crown Athlete, liliangukiwa na lori lililobeba mafuta,
Ajali hiyo imetokea eneo la Mbande Makaravati mkoani Dodoma.
No comments:
Post a Comment