Ndugai arejea nchini akitokea India kwa matibabu...soma habari kamili na matukio360...#share


Spika wa Bunge la Jamhuri wa Muungano, Job Ndugai amerejea nchini jana Aprili 3, 2018 akitokea India alikokuwa amekwenda kwa ajili ya matibabu.

Katika mapokezi  yake, Ndugai amelakiwa na Mke wa rais Mstaafu jakaya Mrisho Kikwete ambaye pia ni mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Salama Kikwete

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search