Picha: Magufuli na mkewe wakimpongeza Askofu Mkuu mpya Jimbo Kuu Katoliki la Arusha...soma habari kamili na matukio360...#share


RAIS Magufuli na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakimpongeza Mhashamu Isaac Amani baada ya kusimikwa kuwa Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Arusha. Ni katika viwanja vya Kanisa la Mtakatifu Teresa wa Mtoto Yesu Jijini Arusha.





About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search