TECNO IKISHIRIKIANA NA TIGO IMEWALETEA TECNO CAMON X RASMI TANZANIA.

TECNO ikishirikiana
tigo imewaletea TECNO CAMON X ikiwa ni muendelezo wa toleo la ‘CAMON’
iliyoboreshwa zaidi katika upande wa kamera ikiwa na megapixel 20 na mfumo mpya
wa kunlock simu ‘FACE ID’.itakayopatikana katika maduka yote ya tigo ikiwa
imeambatanishwa na kifurushi cha GB 3
kutoka mtandao wa tigo.
Kampuni ya simu ya
TECNO na tigo kwa pamoja wanahakikisha mtumiaji wa TECNO CAMON X anafuraiya
kasi ya mtandao wa tigo. TECNO CAMON X ilitambulishwa mwezi huu nchini Nigeria, ikiwa imeboreshwa zaidi kwenye
kamera ya mbele.
TECNO imekua
ikishirikiana zaidi na kampuni za mawasiliano kila inapokuja na toleo jipya la
simu na sasa kuendeleza utamaduni huo kupitia TECNO CAMON X, ambayo ni kubwa
zaidi kulinganisha na toleo lolote la ‘CAMON’. Tigo Tanzania wanaitumia nafasi
hii ili kuhakikisha wateja wa kampuni zote mbili kunufaika na kasi ya 4G kutoka
tigo na simu yenye ubora zaidi.
Akizungumza na vyombo
vya habari wakati wa uzinduzi muongeaji wa kampuni ya TECNO, Bwana Eric Mkomoye
alisema “tunayo furaha kuwaletea sokoni simu yenye kamera kali zaidi ikiwa
miongoni mwa toleo linalosifika zaidi upande wa kamera ambayo ni TECNO CAMON
X yenye megapixel 20 mbele na sifa nying
zaidi zitakazompendeza mtumiaji wa ulimwengu wa kisasa”.
Mr. Mkomoye aliongeza
‘tunajivunia kushirikiana na tigo, kwani ni kampuni yenye kasi nzuri ya mtandao
wa 4G na yenye ofa nzuri kwa wateja wake. Hii ni atua nzuri katika ukuaji wa
soko la simu kupitia TECNO CAMON X yenye speed ya 4G unauhakika wa kufuraiya
simu yako mahali popote duniani”.
Mkubwa wa kitengo cha
mauzo wa kampuni ya tigo, Bwana David Umoh pia alipata nafasi yakuongelea
ushikirikiano wao na kampuni ya simu ya TECNO, “Dhumuni letu ni kuhakikisha
soko la simu linakua zaidi Tanzania huku tukiakikisha wateja wetu wanafuraiya
utandawazi kupitia mtandao wetu wa 4G. na ndio maana tigo inakupatia ofay a GB
3 ndani ya miezi sita kwa mtumiaji wa TECNO CAMON X”.
TECNO CAMON X inakubwa
wa kioo cha nchi 6.0, ram ya GB 3, na GB 16 memori ya ndani ya simu, megapixel
20 kamera ya mbele, megapixel 16 kamera ya nyuma na aina mpya ya ‘security’
FACE ID pamoja na alama za vidole ‘fingerprint’.
About TECNO.
TECNO Mobile
is the premium mobile phone brand of Transsion Holdings with a comprehensive
mobile devices portfolio across feature phones, smartphones and tablets. As a
brand, TECNO is dedicated to transforming state-of-art technologies into
localized products under the guideline of “Think Globally, Act Locally”.
Established in 2006, TECNO has presence in more than 40 countries across the
globe. As one of the fastest growing international brands, TECNO has achieved a
cumulative sales volume of 100 million units. It is now one of the top three
mobile phone brands in Africa and a major player worldwide.
.
Eric Mkomoya –
Public Relation Manager
No comments:
Post a Comment