TRA yakusanya sh. trilioni 11.78 kwa miezi tisa ...soma habari kamili na matukio360

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam


MAMLAKA ya Mapato nchini imekusanya sh. Trilioni 11.78 katika kipindi cha miezi tisa ya mwaka wa fedha 2017/18 kuanzia Julai 2017 hadi Machi 2018, ikilinganishwa na Tsh. Trilioni 10.86 ambazo zilikusanywa katika kipindi cha mwaka wa fedha 2016/17, ambacho ni sawa na ukuaji wa 8.46%.
Mkurugenzi wa huduma na elimu kwa mlipakodi Richard Kayombo akizungumza na waandisi wa habari jijini Dar es Salaam.


About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search