BAADA YA KUTUMBULIWA NAPE ANENA YA MOYONI; ASHUKURU TASNIA YA HABARI NA RAIS MAGUFULI !!


ASEMA ALIFUNZWA KUSIMAMIA HAKI: AUSIA MAMBO MAKUU MANNE(4) 
  • Nimefurahi kufanya kazi na nyie, muungeni mkono Mwakyembe na Rais Magufuli 
  • Tudumishe amani na upendo wa nchi yetu, 
  • Nape ni mdogo kuliko nchi, 
  • wakati wa aliyeniteua ameniondoa mimi nitaendelea kuwatumikia 

 
"Lengo la kuja hapa ni kumshukuru rais kwa alichokifanya, namshukuru kwa kuniamini kwa mwaka mmoja, nampongeza Mwakyembe naye ni mwanahabari"

Aliekuwa Waziri mwenye dhamana ya Habari na Sanaa akiongea na vyombo vya habari mchana huu kutokea juu ya gari baada ya kutokea hali ya sintofahamu katika hoteli aliyoahidi kukutana nayo!

Source: Jamii Forum


About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search