RAIS John Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa jaji mkuu Profesa Ibrahim Juma kufuatia kifo cha jaji mstaafu wa mahakama ya rufani, Robert Kipanga aliyefariki kwa ugonjwa wa saratani ya utumbo.
Jaji mstaafu, Robert Kisanga
About Author Matukio360
Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.
No comments:
Post a Comment