BREAKING NEWS !!!!!!1

Taarifa kuhusu Mbunge Peter Lijualikali kuachiwa huru

January 11 2017 Mbunge wa Kilombero kwa ticket ya CHADEMA Peter Lijualikali alihukumiwa miezi 6 jela baada ya kupatikana na hatia katika kesi ya kufanya vurugu kipindi cha uchaguzi wa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero. Mbunge Lijualikali alishitakiwa kwa kuwashambulia polisi kwenye siku hiyo ya uchaguzi.
Leo March 30 2017 Mahakama kuu kanda ya Dar es salaam imetengua hukumu hiyo iliyotolewa na mahakama ya wilaya ya Kilombero,  sasa Mbunge huyo amechiwa huru.

Source: Millard Ayo

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search